Tunahudumia Dodoma na maeneo jirani. Kwa bei na maelezo zaidi ya kila kazi, wasiliana nasi kwa WhatsApp.
Kuanzia ukaguzi hadi kufunga mifumo mipya na matengenezo ya kudumu.
Vifaa vya nyumbani na electronics.
Vifaa vya umeme na vifaa vya ukarabati.
Mifumo inayounganishwa na kufuatiliwa: CCTV, mtandao, na TV Dish.
Mifumo na programu maalum kwa mahitaji ya biashara yako - tunazitengeneza wenyewe, kama Jipime na Fundi Estimator.
Huduma ya intaneti kwa majirani na eneo dogo la mtaa — bado haijaanza.
Wasiliana nasi moja kwa moja kwa bei na ratiba ya kazi.