Ubora na Uaminifu Kwanza

Suluhisho za teknolojia unazoweza kuziamini

Linja Tech inajenga bidhaa na huduma za kidijitali kwa Tanzania — kuanzia na Jipime, jukwaa la mazoezi ya shule, hadi ufundi umeme, ukarabati wa vifaa na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya umeme na electronics.

🔧
Ukarabati wa VifaaPC, TV, vifaa vya nyumbani
🎓
Mafunzo ya ITDjango, Programu, Mitandao
🌐
Usanidi wa MitandaoWiFi, LAN, Kamera, Vifaa vya IT
💻
Windows & ProgramuUfungaji na usanidi
⚡
Huduma za UmemeUfungaji, Matengenezo, Maboresho
Huduma Zetu

Kila kitu chini ya jina moja

Bidhaa na huduma tofauti, lengo moja — ubora na uaminifu.

📘

Jipime

Jukwaa la mazoezi na mitihani kwa wanafunzi wa shule za msingi Tanzania — Kiswahili na Kiingereza.

Ingia → Jisajili →
🧾

Fundi Estimator

Zana ya mafundi kutengeneza makadirio ya kazi papo hapo na kuyatuma kwa mteja WhatsApp au print.

Fungua → Anza →
📦

MBD

Mfumo wa kusimamia bidhaa, mauzo na hesabu za biashara yako — fuatilia stock na mapato kwa urahisi.

Fungua →
💰

Bajetika

Mali Bila Daftari Hupotea Bila Kujua — bajeti binafsi na ya biashara, panga kipato chako kwa tier, fuatilia matumizi halisi dhidi ya mpango.

Fungua →
⚡

Ufundi Umeme

Kufunga wiring, ukarabati na uboreshaji wa mifumo ya umeme kwa nyumba na biashara.

Angalia zaidi →
🛠️

Ukarabati wa Vifaa

Kompyuta, TV, redio na vifaa vya nyumbani — tunakarabati kwa ubora na haraka.

Angalia zaidi →
🧰

Duka la Vifaa

Waya, soketi, breakers, taa na vifaa vya ukarabati kwa bei nzuri.

Angalia Bidhaa →
📡

IoT — Kufunga Mifumo Mipya

CCTV, mtandao (network), na TV Dish — kuweka na usanidi kamili.

Angalia zaidi →
Hivi Karibuni
📶

WiFi & Hotspot

Huduma ya intaneti kwa majirani na eneo dogo la mtaa.

Hivi Karibuni
🌱

AgroTech

Suluhisho mahiri za kilimo — vinakuja hivi karibuni.

Huduma Zetu Kwa Picha

Tazama tunavyofanya kazi

Tunatengeneza mifumo na programu maalum kwa mahitaji ya biashara yako

Kazi Zetu

Kazi Halisi Tulizofanya

Baadhi ya kazi za ufundi umeme tulizofanya kwa wateja wetu.

Kuhusu Sisi

Misingi Yetu

01

Ubora

Kila bidhaa tunayotengeneza inapitia kiwango cha juu cha ubora kabla ya kufika kwako.

02

Uaminifu

Tunajenga uhusiano wa muda mrefu na wateja wetu kwa kutimiza tuliyoahidi.

03

Ubunifu

Tunatafuta daima njia mpya za kutatua matatizo ya kila siku kwa teknolojia.

🤝 Uaminifu na Uwazi
🛡️ Ubora wa Kazi
⏱️ Utekelezaji kwa Wakati
😊 Wateja Wanaridhika

Uko tayari kuanza?

Jisajili kwenye mfumo unaokufaa, au wasiliana nasi kwa huduma nyingine.